RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Kituo cha Wajasiriamali Pale Kiongele Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja leo 19-7-2022, na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mama Mariam Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Masoud Ali Mohammed na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud, wakati wa ziara yake katika Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakisoma maelezo ya Jiwe la Uzinduzi wa Kituo cha Wajasiriamali Pale Kiongele Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja leo 19-7-2022, baada ya kukizindua,na (kushoto ) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Masoud Ali Mohammed na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud. wakati wa ziara yake katika Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi na Wajasiriamali, wakati wa ufunguzi wa Kituo cha Wajasiriamali wa bidhaa mbalimbali Pale Kiongele Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja akiwa katika ziara yake kutembelea Miradi ya Maendelo ya Wilaya hiyo leo 19-7-2022.(Picha na Ikulu)
WANANCHI na Wajasiriamali wa Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) akizungumza wakati wa Ufunguzi wa Kituo cha Wajasiriamali Pale Kiongele Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja akiwa katika ziara yake katika Wilaya hiyo iliyoaza leo 19-7-2022.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akimsikiliza Mwakilishi wa Jimbo la Tumbatu Mhe Haji Omar Kheri.(hayupo pichani ) akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Kituo cha Wajasiriamali Pale Kiongele Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja, iliyoaza leo 19-7-2022,katika Wilaya na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Mhe.Masoud Ali Mohammed na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Wananchi na Wajasiriamali, baada ya kumaliza kuzungumza na kukifungua Kituo cha Wajasiriamali Pale Kiongele Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja leo 19-7-2022, akiwa katika ziara yake Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja.(Picha na Ikulu)
MWANANCHI wa Wilaya ya Kaskazini”A”Unguja akimshangilia na kupiga makofi wakati wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia na kuzungumza na Wajasiriamali na Wananchi wakati wa hafla ya ufunguzi wa Kituo cha Wa\jasiriamali Pale Kiogele leo 19-7-2022, Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...