RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Mapambano Dhidi ya Rushwa Afrika, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 12-7-2022.
VIONGOZI mbalimbali waakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Mapambano Dhidi ya Rushwa Afrika, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahri Mbweni Wilaya ya Magharibi”B” Unguja leo 12-7-2022.(
BAADHI ya Mawaziri na Viongozi wa Dini waakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Mapambano Dhidi ya Rushwa Afrika, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahri Mbweni Wilaya ya Magharibi”B” Unguja leo 12-7-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuagana na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa baada ya kumaliza kuufungua mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Mapambano Dhidi ya Rushwa Afrika , unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahri Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 12-7-2022.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...