RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akionda pazia kuashiria kuwe Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Madarasa Manne ya Skuli ya Msingi Mkwajuni Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja baada ya kufanyiwa ukarabati mkubwa, na (kulia kwa Rais) Mama Mariam Mwinyi, Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja Mhe. Sadifa Juma na Naibu Waziri Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Ali Abdulgulam Hussein.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakitembelea moja ya Darasa kati ya Manne aliyoyafungua leo ya Skuli ya Msingi ya Mkwajuni Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja akiwa katika ziara yake katika Wilaya hiyo iliyoaza leo 19-7-2022.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuzungumza na Wananchi na Wanafunzi wa Skuli ya Msingi ya Makwajuni wakati wa ufunguzi wa Madarasa Saba ya Skuli hiyo yaliojengwa kupitia Fedha za Uviko -19, akiendelea na ziara yake kutembelea Miradi ya Maendeleo ya Wilaya hiyo.(Picha na Ikulu)









Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...