Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akifungua pazia kuweka jiwe la Msingi ujenzi wa Hospitali ya Wilaya Pangatupu Wilaya ya Kaskazini 'B" akiendelea na ziara yake ya Mkoa wa Kaskazini Unguja kwa kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo( wa pili kulia) Mkuu wa Mkoa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud.[Picha na Ikulu] 20/07/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatana na wazaidizi wake alipowasili katika uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa Hospitali ya Wilaya Pangatupu Wilaya ya Kaskazini 'B" akiendelea na ziara yake leo, Mkoa wa Kaskazini Unguja kwa kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo.[Picha na Ikulu] 20/07/2022.
Waziri wa Afya Mhe.Nassor Ahmed Mazrui alipomkaribisha Rais wa Zanzibar kuzungumza na Wananchi,Viongozi mbali mbali na Wanafunzi katika sherehe ya uwekaji wa jiwe la msingi jengo la Hospitali ya Wilaya Pangatupu Wilaya ya Kaskazini 'B" leo akiwa katika ziara yake kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo.[Picha na Ikulu] 20/07/2022.
Baadhi ya wananchi na Wanafunzi wa Shehia ya Pangatupu wakiwa katika sherehe ya uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa Hospitali ya Wilaya Pangatupu Wilaya ya Kaskazini 'B" lililowekwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani)leo akiendelea na ziara yake ya Mkoa wa Kaskazini Unguja kwa kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo.[Picha na Ikulu] 20/07/2022.
Jengo la Hospitali ya Wilaya Pangatupu Wilaya ya Kaskazini 'B" lililowekwa jiwe la msingi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani)leo akiendelea na ziara yake ya Mkoa wa Kaskazini Unguja kwa kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo.[Picha na Ikulu] 20/07/2022.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...