Naibu Waziri wa Kilimo na Mbunge wa Dodoma Mjini, Anthony Mavunde (aliyesimama), akitoa neno kwa wananchi wa eneo la Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe, katika shughuli ya upandaji miti elfu tano katika eneo hilo, mjini Dodoma asubuhi ya Leo. Shughuli hiyo ilisimamiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) na Asasi ya kiraia Habari Development Association (HDA). Waliokaa mbele ni (Kutoka kulia) Mkurugenzi Mtendaji wa SBL, Mark Ocitti na Katibu Mkuu Mtendaji wa HAD Bernad James.



Katibu Mkuu Mtendaji Habari Development Association (HDA) akihotubia wakati wa zoezi la upandaji miti elfu tano katika eneo la Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe jijini Dodoma. Shughuli hiyo iliandaliwa na HDA kushirikiana na SBL katika juhudi za kukabiliana na ukame mkoani Dodoma.
Kutoka kulia ni Naibu wa Waziri wa Kilimo, Mhe. Anthony Mavunde, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia Serengeti (SBL) na Katibu Mkuu Mtendaji wa asasi ya kiraia Human Development Association (HDA), Bernard James, wakitafakari jambo katika shughuli ya upandaji miti elfu tano, iliyofanyika katika eneo la Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe, jijini Dodoma asubuhi ya leo.

Kutoka Kushoto - Mkurugenzi wa Mahusiano kwa Umma kutoka Kampuni ya Bia ya Serengeti John Wanyancha, Mkurugenzi Mtendaji wa SBL Mark Ocitti, Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Anthony Mavunde, Paul Lawala Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe, SSP John Nyonyi (Magereza Dodoma). Nyuma – Katibu Mkuu Mtendaji Habari Development Association (HDA), Bernard James, Afisa Maliasili wa jiji la Dodoma, Dastus Gerlad Mbilinga, Katibu wa Afya Hospitali ya Afya ya Taifa Mirembe, Jackson Mjinja na Sajenti Aloyce Assey (Makutupora JKT), katika picha ya pamoja, baada ya shughuli ya upandaji miti elfu tano katika eneo la Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe, asubuhi ya leo..

Naibu Waziri wa Kilimo Anthony Mavunde (Katikati), Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Mark Ocitti (pembeni kulia), SSP John Nyonyi (Pembeni ya Ocitti) na George Lucas Tadey (mwisho kushoto) Mweka Hazina wa Asasi ya kiraia Habari Development Association (HDA) katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa SBL na wakazi wa eneo la Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe wakati wa zoezi la upandaji miti elfu tano uliofanyika asubuhi ya leo jijini Dodoma, ikiwa ni jitihada ya kukabiliana na ukame

====== ====== ====== ======= ========


Serengeti Breweries Limited (SBL) has, for the second time in less than a year, joined residents and leaders of the Dodoma region to plant thousands of trees at Mirembe National Mental Health Hospital in the bid to combat aridity in Tanzania's central region

In a deliberate attempt to curb aridity and conserve the environment, Hon Anthony Mavunde, Deputy Minister for Agriculture and Member of Parliament, Mirembe National Mental Health Hospital Secretary Jackson Mjinja, government, military, and prison officials were among the dozens of key leaders who participated in the tree planting exercise. The event is organized jointly by SBL and Habari Development Association (HDA), a Dodoma-based NGO

SBL Managing Director Mark Ocitti stated that tree planting in Dodoma is part of the company's ongoing environmental conservation effort, which aims to plant millions of trees across the country. SBL planted trees in the Same and Moshi districts in 2019 to help with the effort to increase vegetation cover around Mount Kilimanjaro.

'SBL's support for tree planting in Dodoma follows similar initiatives undertaken by the company across the country, including Kongwa last year, where SBL planted thousands of trees,' said Ocitti.

SBL's tree planting intervention comes at a critical juncture in the global effort to reduce greenhouse gas emissions at regional and international levels to combat climate change and ensure a safe and protected environment for future generations.

"SBL and our parent company, Diageo, take environmental protection seriously as a critical aspect of the success of our manufacturing process," added Ocitti.

Hon. Anthony Mavunde praised SBL for supporting the initiative, noting that trees and plants have a special relationship with people and that human society cannot thrive without them.

The deputy minister highlighted the planted area's plans, noting that it will be an exotic ecotourism space in the capital.

“We are commencing our campaign together with SBL”

The deputy denounced indiscriminate deforestation as the primary cause of climate change, which has posed humanity with the most severe environmental challenges to date, including adverse effects on food production, water availability, wildlife, and human health.

"I believe that the entire concept of planting trees in Dodoma on July 6, 2022, will inspire people in Dodoma and other parts of the country to plant more trees whenever possible. I also encourage other organizations to set up more initiatives to protect the environment ", she explained.

Additionally, HDA's general secretary Bernard James rallied behind SBL's environmental conservation initiative while landing his organization's commitment to preserve and spread tree planting spirit in the capital.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...