
Wafanyakazi wa TRA pamoja na Naibu kamishna mkuu wa mamlaka hiyo Ndg. Mcha Hassan Mcha wakifanya zoezi la kuskani kinywaji ili kuhakiki ubora wa matumizi ya bidhaa hiyo katika zoezi linaloendelea la ‘Kuhakiki Stempu’ katika viwanja vya sabasaba. Kulia ni Mkurugenzi wa huduma na Elimu kwa Mlipa kodi TRA Bw. Richard Kayombo


Naibu Kamishna Mkuu wa TRA, Bw. Mcha Hassan Mcha katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa TRA, alipotembelea mabanda ya Mamlaka hiyo ya mapato katika maonesho ya kimataifa ya biashara Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...