Mwonekano wa jengo la Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mkalama mkoani Singida ambalo limekamilika kwa asilimia 100. Julai 17, 2022.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisomewa taarifa ya jengo la Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mkalama mkoani Singida na Meneja wa TBA Mkoa wa Singida Injinia Khadija Abdallah. Jengo hilo limekamilika kwa asilimia 100, Julai 17, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa Daraja la mawe katika barabara ya Iguguno-Kikhonda-Kinampundu, lenye urefu wa mita 30, lililopo katika Wilaya ya Mkalama mkoani Singida . Julai 17, 2022.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Meneja wa TARURA Mkoa wa Singida Mhandisi Tembo David, wakati alipokagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa Daraja la mawe katika barabara ya Iguguno-Kikhonda-Kinampundu, lenye urefu wa mita 30, lililopo katika Wilaya ya Mkalama mkoani Singida . Julai 17, 2022.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mwonekano wa ujenzi wa mradi wa Daraja la mawe katika barabara ya Iguguno-Kikhonda-Kinampundu, lenye urefu wa mita 30, lililopo katika Wilaya ya Mkalama mkoani Singida . Julai 17, 2022.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...