Makamu Mweyekiti wa CCM Mhe. Abdurahman Kinana (kushoto) akiteta jambon a Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) wakati wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki uliojadili furs ana changamoto ya soko la Pamoja la Jumuiya hiyo unaofanyika Jijini Arusha, Tanzania.


Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchema (Mb) (kulia), akizungumza na Waziri wa Tawala za Miko ana Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Innocent Bashungwa (Mb), wakati wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki uliojadili fursa na changamoto ya soko la pamoja la Jumuiya hiyo, unaofanyika Jijini Arusha, Tanzania.



Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchema (Mb) (kulia), akizungumza na aliyewahi kuwa Mbunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki Mhe. Adam Kimbisa, wakati wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki uliojadili fursa na changamoto ya soko la pamoja la Jumuiya hiyo, unaofanyika Jijini Arusha, Tanzania.


Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchema (Mb) (katkati-mwenye tai ya Bendera ya Taifa), akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wajube kutoka nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wanaoshiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi hizo uliojadili fursa na changamoto za soko la pamoja la Jumuiya hiyo, unaofanyika Jijini Arusha, Tanzania.(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-Wizara ya Fedha na Mipango- Arusha)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...