Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini SACP David Misime ametoa taarifa kwa vyombo vya habari kuwa, wale waliohusika na uhalifu wa vishwambi kwenye maeneo yaliyoripotiwa ya Arusha na Katavi kuviwasilisha vifaa hivyo haraka iwezekanavyo kabla ya hatua stahiki hazijachukuliwa kwa waliohusika.

Hata hivyo, ametoa wito kwa makalani wa Sensa ambao wanaendelea na zoezi hilo muhimu kwa taifa letu kuwa makini na vifaa hivyo kwani kutokana na uchunguzi imeonekana kuna uzembe unaofanywa na baadhi ya makalani na kuwataka makalani hao kuendelea kuzingatia mafunzo/maelekezo waliyopewa.

Aidha, hadi sasa zoezi la Sensa ya Watu na Makazi linaendelea vizuri kwenye maeneo yote nchini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...