Postmasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania Macrice Mbodo akizungumza na Karani wa Sensa Bi. Monica Oranayusy Gondya wakati alipokuwa akihesabiwa katika makazi yake, Ilala jijini Dar es Salaam Leo tarehe 23 Agosti, 2022 kwenye Sensa ya Watu na Makazi.
Mbodo amesema kuwa amefurahia zoezi la Sensa kwa kuwa maswali yote aliyoulizwa hayakuwa na utata bali yalikuwa ya maendeleo.
Mbodo amewaomba watanzania kujitokeza kuhesabiwa kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...