Kutoka kwa mtengenezaji mahiri wa
michezo ya kasino ya mtandaoni, Microgaming
wanakuletea sloti ya Foxpot ambayo
ina bonasi za kumwaga, zawadi za pesa za papo kwa hapo, kurudia mzunguko wa
bure na mazidisho ya mara 2 ya dau lako bila ya kusahau Jackpoti babkubwa!
Sio hayo tu, Kasino
hii ya mtandaoni ya Meridianbet kupitia sloti ya Foxpot inakuletea Gurudumu la bahati ambalo litakupa fursa
ya kushinda bonasi mbalimbali.
Unasubiri nini? ingia mchezoni kwenye kasino
ya mtandaoni ya Meridianbet sasa na ufurahie ushindi kwa kupitia http://www.meridianbet.co.tz
Jinsi ya Kucheza Sloti ya Foxpot
Ni rahisi sana! Unachotakiwa kufanya ni kuingia kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet na kuchagua mchezo huu wa Foxpot ujishindie mamilioni!
Sloti
hii ya Foxpot ina alama na machaguo mbalimbali.
Ili ushinde, unatakiwa upate alama tatu zenye kufanana kwenye sloti hii yenye
kolamu 5 na mstari mmoja wa malipo.
Kasino
hii ya mtandoni ya Meridianbet ina machaguo mbalimbali ambayo
yanakupa fursa ya wewe mchezaji kuucheza mchezo huu kiurahisi. Kwa kubofya
alama ya + na – ambazo zipo kwenye kitufe cha Bet, itakupa nafasi ya kuweka dau lako unalolitaka.
Kuna chaguo la Autoplay ambalo litakuwezesha wewe (mchezaji) kuzungusha mizunguko
kiatomatiki. Alama za sloti hii ni ya matunda ambayo ni Cherry ambalo lina thamani ndogo, Zambarau ambalo litakurudishia mara 1.5 ya dau lako huku likufuatiwa na Ndimu ambalo litakulipa mara 2.5
ya dau uliloliwaka.
Endapo utapa alama 1, 2 au 3 za Lucky 7 basi utalipwa mara tatu ya dau uliloliweka huku alama moja ya
Lucky 7 ikiwa ina uwezo wa kukulipa mara 10 ya dau lako, na alama 2 mbili za Lucky 7 zikitakurudishia mara 15 wakati alama 3, zitakurudishia mara 25 ya dau lako. Sio hivyo tu, kama
ukipata alama ya Wild utarudishiwa mara 40
ya dau lako. Kumbuka, alama ya Wild inauwezo wa kubadilisha alama zozote kwenye
mchezo huu na kukupatia ushindi isipokuwa alama ya bonasi. Unasubiri nini?
Jiunge leo na Meridianbet na
upate bonasi babkubwa, Odds za kubwa na Jackpoti kedekede kwa kutembelea tovuti
yetu http://www.meridianbet.co.tz sasa!
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...