Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisaini kitabu cha maombolezo, wakati alipohani msiba wa Celia Mwambe, ambaye ni mtoto wa Mbunge wa Ndada Cecil Mwambe, nyumbani kwake, Kinondoni jijini Dar es Salaam, Agosti 25 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu),
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa mkono wa pole Mbunge wa Ndada Cecil Mwambe, wakati alipohani msiba wa Celia Mwambe, ambaye ni mtoto wa Mbunge huyo, nyumbani kwake, Kinondoni jijini Dar es Salaam, Agosti 25 2022. Kulia ni mwenza wake Rose Tweve. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu),
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Ndada Cecil Mwambe, wakati alipohani msiba wa Celia Mwambe, ambaye ni mtoto wa Mbunge huyo, nyumbani kwake, Kinondoni jijini Dar es Salaam, Agosti 25 2022. Kulia ni mwenza wake Rose Tweve. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu),

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...