Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula (Mb) amepokea nakala za Hati za Utambulisho za Mabalozi tisa (9) katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam tarehe 23 Agosti 2022.

Mabalozi waliowasilisha nakala za hati za utambulisho kwa Mhe. Waziri ni Balozi mteule wa Iran, Mhe. Hossein Alvandi Bahineh, Balozi mteule wa Kenya, Mhe. Isaack Njenga Gatitu, Balozi mteule wa Sweden, Mhe. Charlotta Ozaki Macias.  Balozi mteule wa Ubelgiji, Mhe. Peter Huyghebaert, Balozi mteule wa Jamhuri ya Afrika Kusini, Mhe. Noluthando Mayende-Malepe pamoja na Balozi Mteule wa Jamhuri ya Sudan Kusini, Mhe. Loyang Johnson Okot Jekery.

Mabalozi wengine waliowasilisha nakala za Hati za Utambulisho ambao makazi yao yapo Nairobi, Kenya ni Balozi wa Thailand, Mhe. Sasirit Tangulrat, Balozi wa Ukraine, Mhe. Pravednyk Andrii pamoja na Balozi wa Jamhuri ya Slovakia, Mhe. Katarina Žuffa Leligdonová

Mara baada ya kupokea nakala hizo kutoka kwa mabalozi hao, Waziri Mulamula amewapongeza na kuwaahidi kuwa Wizara itawapa Ushirikiano wa kutosha ili  waweze kutekeleza majukumu yao ya kuendeleza ushirikiano uliopo baina ya Tanzania na mataifa hayo kwa ufanisi.




Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula akipokea nakala za Hati za Utambulisho za Balozi Mteule wa Jamhuri ya Slovakia nchini, mwenye makazi yake Nairobi Kenya, Katarina Žuffa Leligdonová katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam tarehe 23 Agosti 2022.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula akipokea nakala za Hati za Utambulisho za Balozi Mteule wa Jamhuri ya Sudan Kusini, Mhe. Loyang Johnson Okot Jekery katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam tarehe 23 Agosti 2022.


Mabalozi waliowasilisha nakala za hati za utambulisho kwa Mhe. Waziri ni Balozi mteule wa Iran, Mhe. Hossein Alvandi Bahineh, Balozi mteule wa Kenya, Mhe. Isaack Njenga Gatitu, Balozi mteule wa Sweden, Mhe. Charlotta Ozaki Macias. Balozi mteule wa Ubelgiji, Mhe. Peter Huyghebaert, Balozi mteule wa Jamhuri ya Afrika Kusini, Mhe.Noluthando Mayende-Malepe pamoja na Balozi Mteule wa Jamhuri ya Sudan Kusini,Mhe. Loyang Johnson Okot Jekery.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula akipokea nakala za Hati za Utambulisho za Balozi Mteule wa Ukraine nchini, mwenye makazi yake Nairobi Kenya, Mhe. Pravednyk Andrii katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam tarehe 23 Agosti 2022.


Mabalozi wengine waliowasilisha nakala za Hati za Utambulisho ambao makazi yao yapo Nairobi, Kenya ni Balozi wa Thailand, Mhe. Sasirit Tangulrat, Balozi wa Ukraine, Mhe. Pravednyk Andrii pamoja na Balozi wa Jamhuri ya Slovakia, Mhe. Katarina Žuffa Leligdonová.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula akipokea nakala za Hati za Utambulisho za Balozi mteule wa Sweden, Mhe. Charlotta Ozaki Macias katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam tarehe 23 Agosti 2022.


Mara baada ya kupokea nakala hizo kutoka kwa mabalozi hao, Waziri Mulamula amewapongeza na kuwaahidi kuwa Wizara itawapa Ushirikiano wa kutosha ili waweze kutekeleza majukumu yao ya kuendeleza ushirikiano uliopo baina ya Tanzania na mataifa hayo kwa ufanisi.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula akipokea nakala za Hati za Utambulisho za Balozi mteule wa Ubelgiji, Mhe. Peter Huyghebaert katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam tarehe 23 Agosti 2022
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula akipokea nakala za Hati za Utambulisho za Balozi mteule wa Jamhuri ya Afrika Kusini, Mhe. Noluthando Mayende-Malepe katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam tarehe 23 Agosti 2022
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula akipokea nakala za Hati za Utambulisho za Balozi Mteule wa Thailand nchini, mwenye makazi yake Nairobi Kenya, Mhe. Sasirit Tangulrat katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam tarehe 23 Agosti 2022
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula akipokea nakala za Hati za Utambulisho za Balozi mteule wa Kenya, Mhe. Isaack Njenga Gatitu katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam tarehe 23 Agosti 2022.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula akipokea nakala za Hati za Utambulisho za Balozi mteule wa Iran, Mhe. Hossein Alvandi Bahineh katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam tarehe 23 Agosti 2022.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...