KILA mmoja ni bingwa kwenye uwanja wake, na Meridianbet wanakupa nafasi ya kutamba kibingwa kwa kuibuka mshindi wa zawadi zao kibao.

Meridianbet wamekusogezea ofa kubwa kwa mchezaji mpya kabisa wa Meridianbet, wakati wachezaji wakongwe wakiendelea kufurahia ofa lukuki kwenye ubashiri wao.

Umewahi kukutana na Bonasi ya Ukaribisho Kubwa Kama Hii?

Meridianbet pekee, wanakupa nafasi ya kuweza kujisajili na kujiweka kwenye nafasi ya kushinda, simu mbili aina ya Sumsang Flip Z zikiwa mezani, tayari kwa kuchukuliwa na mshindi.

Bila shaka hii inaweza kuwa yako, muhimu ni kufuata maelekezo tuu! Promosheni hii inawahusu wateja wapya wanaojisajili kuanzia tarehe 17 Oktoba mpaka 18 Novemba mwaka huu.

Promosheni hii imeambatana na zawadi zingine lukuki. Mshindi atatazamwa kwa hesabu ya tiketi zake za jumla alizocheza kwa kipindi cha promosheni.

Washindi wana nafasi ya kupambania ushindi katika makundi mawili, upande wa ubashiri wa kawaida na upande wa kasino ya mtandaoni.

Kwa Upande wa Ubashiri wa michezo washindi watashinda kwa mpangilio wa nafasi zifuatazapo pamoja na nafasi zao, hii inaweza kuwa yako.



Tunakukumbusha pia kuwa Meridianbet wanaendesha promosheni ya kushinda boda boda na simu nyingine ya mkononi kwa ubashiri wa bila intaneti wa kupiga *149*10# na kubashiri kuanzia mechi tano kwa dau la shilingi 250 tu. Chagua merdianbet sasa!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...