Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa kampuni ya Mirae Green Chemical Limited kwenye hoteli ya Lotte iliyopo Seoul nchini Korea, Oktoba 27, 2022. Wa pili kulia ni Mtendaji Mkuu wa Kampuni hiyo, Bw. H. S. Cho na wa tatu kulia ni Makamu wa Rais wa Kampuni hiyo, Charles CM. Lee. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Mirae Green Chemical Limited, Bw. H. S. Cho kabla ya mazungumzo kati yake na viongozi wa Kampuni hiyo kwenye hoteli ya Lotte iliyopo Seoul nchini Korea, Oktoba 27, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...