
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Wakili Mkuu wa Serikali Dkt.Boniphace Nalija Luhende , Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Sarah Duncan Mwaipopo mara baada ya hafla ya Uapisho iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam



Wakili Mkuu wa Serikali Dkt.Boniphace Nalija Luhende, Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Sarah Duncan Mwaipopo pamoja na Wakuu mbalimbali wa Taasisi wakila Kiapo cha Maadili kwa Viongozi wa Umma kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Mhe. Dkt. Tulia Ackson, Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro, Wakili Mkuu wa Serikali Dkt.Boniphace Nalija Luhende pamoja na Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Sarah Duncan Mwaipopo mara baada ya hafla ya Uapisho iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...