Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Sensa akizungumza wakati alipofungua kikao cha kamati hiyo kwenye ukumbi wa hoteli ya Verde, Zanzibar Oktoba 11, 2022. Kushoto ni Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mwenyekiti Mwenza, Hemed Suleiman Abdulah. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Kitaifa ya Sensa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mwenyekiti wa kamati hiyo wakati alipofungua kikao cha kamati hiyo kwenye ukumbi wa hoteli ya Verde, Zanzibar Oktoba 11, 2022. Kikao hicho pia kilihudhuriwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mwenyekiti Mwenza, Hemed Suleiman Abdulah. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...