Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Omary Mgumba akizungumza wakati akitoa hotuba yake katika ufunguzi rasmi wa Semina ya siku moja kwa Wateja wa Benki ya CRDB wa mkoa wa
 Tanga, 
iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Regal Naivera jijini
 Tanga, Novemba 14, 2022.  
Mkurugenzi 
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akizungumza wakati wa ufunguzi rasmi wa Semina ya siku moja kwa Wateja wa Benki 
ya CRDB wa mkoa wa
 Tanga, 
iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Regal Naivera jijini
 Tanga, Novemba 14, 2022.  
Afisa Mkuu wa Biasra wa Benki ya CRDB, Boma Raballa akizungumza wakati akitoa mada ya biashara  na uwekezaji katika Semina ya siku moja kwa Wateja wa Benki 
ya CRDB wa mkoa wa
 Tanga, 
iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Regal Naivera jijini
 Tanga, Novemba 14, 2022. 
 Meneja wa Benki ya CRDB Kanda ya Kaskazini, Chiku Issa akizungumza katika Semina ya siku moja kwa 
Wateja wa Benki 
ya CRDB wa mkoa wa
 Tanga, 
iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Regal Naivera jijini
 Tanga, Novemba 14, 2022. 
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa akizungumza katika Semina ya siku moja kwa 
Wateja wa Benki 
ya CRDB wa mkoa wa
 Tanga, 
iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Regal Naivera jijini
 Tanga, Novemba 14, 2022. 
 
 Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Hashim Mgandilwa akizungumza katika Semina ya siku moja kwa 
Wateja wa Benki 
ya CRDB wa mkoa wa
 Tanga, 
iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Regal Naivera jijini
 Tanga, Novemba 14, 2022. 
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Omary Mgumba (kulia) asalimiana na Mkurugenzi 
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela, wakati alipowasili kwa lengo la ufunguzi rasmi wa Semina kwa Wateja wa Benki ya CRDB wa mkoa wa Tanga, 
iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Regal Naivera jijini
 Tanga, Novemba 14, 2022. Kushoto ni Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa na wa pili kulia ni Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Tanga, January Kirambata.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Omary Mgumba (katikati) akiwa na Mkurugenzi 
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela wakiwasalimia baadhi ya viongozi waandamizi wa Benki ya CRDB, wakati alipowasili kwa lengo la ufunguzi rasmi wa Semina kwa Wateja wa Benki ya CRDB wa mkoa wa Tanga, 
iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Regal Naivera jijini
 Tanga, Novemba 14, 2022. 
Mkuu
 wa Mkoa wa Tanga, Omary Mgumba akizungumza jambo na Mkurugenzi Mtendaji
 wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela, muda mfupi baada ya ufunguzi 
rasmi wa Semina kwa Wateja wa Benki ya CRDB wa mkoa wa Tanga, 
iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Regal Naivera jijini
 Tanga, Novemba 14, 2022.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...