Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akijadili jambo na Mkurugenzi wa Manispaa ya
Sumbawanga, Jacob Mtalitinyi (kulia) wakati alipokagua Kituo Kikuu cha
Mabasi cha Sumbawanga akiwa katika ziara ya kikazi ya Mkoa wa Rukwa,
Disemba 16, 2022. Katikati na Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt.
Festo Dugange. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Kituo Kikuu cha Mabasi
Sumbawanga wakiwa katika ziara ya kikazi Mkoani Rukwa, Disemba 16, 2022.
Kulia kake ni Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Queen Sendiga. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...