
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Manispaa na Halmashauri ya Sumbawanga kwenye ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mtakatifu Maurus Chemchemi iliyopo katika Manispaa hiyo akiwa katika ziara ya Mkoa wa Rukwa, Disemba 16, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...