Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Abdallah Kakoso wakati alipotembelea banda la wafugaji nyuki katika maonyesho yaliyoandaliwa kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Kagunga wilayani Tanganyika ambapo pia Waziri Mkuu alizungumza na wananchi akiwa katika ziara ya Mkoa wa Katavi, Disemba 12, 2022. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Onesmo Mpuya Buswelu (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi mfano wa hundi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika, Shabani Juma Juma (wa pili kushoto) wakati alipokabidhi jumla ya Shilingi bilioni 4.27 kwa Halmashauri hiyo na vijijiji vinane yakiwa ni malipo ya mauzo ya hewa ya ukaa awamu ya sita zilizotolewa na taasisi ya CARBON TANZANIA. Kushoto ni Mbunge wa Mpanda Vijijini, Selemani Kakoso, wa pili kushoto ni Muasisi na Mkurugenzi wa taasisi ya Carbon Tanzania, Marc Baker na kulia ni mhasibu wa taasisi hiyo,Alphael Jackson. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...