Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) katika kikao na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ndg. Charles Kichere pamoja na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais -Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Angellah Kairuki, Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Dkt. Festo Dugange pamoja na Watendaji wengine wa Wizara hiyo.
Kamati za Kudumu za Bunge zinaendelea na vikao ambavyo vimeanza tangu tarehe 9 Januari na vinatarajiwa kumalizika tarehe 29 Januari, 2023 kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Kumi wa Bunge.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...