Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali kwenye
ufunguzi wa Mkutano wa Jukwaa la Uchumi Duniani (World
Economic Forum) uliofanyika katika Ukumbi wa Congress, Davos
nchini Uswizi tarehe 17 Januari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuzungumza na Washiriki pamoja na viongozi mbalimbali wanaohudhuria Mkutano wa Jukwaa la Uchumi Duniani (World Economic Forum) uliofanyika katika Ukumbi wa Congress, Davos nchini Uswizi tarehe 17 Januari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akizungumza na mmoja wa Washiriki
wa Mkutano wa Jukwaa
la Uchumi Duniani (World Economic Forum) uliofanyika katika
Ukumbi wa Congress, Davos nchini Uswizi tarehe 17 Januari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini
Ujerumani Dkt. Abdallah Possi mara baada ya kuhudhuria ufunguzi
wa Mkutano wa Jukwaa la Uchumi Duniani (World Economic
Forum) uliofanyika katika Ukumbi wa Congress, Davos nchini Uswizi
tarehe 17 Januari, 2023.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...