Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika mkutano wa Kuitangaza Tanzania katika Sekta ya Uwekezaji kwenye ukumbi wa Mikutano wa Congress, Davos nchini Uswizi tarehe 19 Januari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifafanua fursa mbalimbali za Uwekezaji zinazopatikana nchini kwenye mkutano wa kuitangaza Tanzania uliofanyika Davos nchini Uswizi tarehe 19 Januari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa
na viongozi mbalimbali pamoja na Wawekezaji wakati wakitazama video ya
kuitangaza Tanzania katika Sekta mbalimbali za Uwekezaji kwenye mkutano
uliofanyika Davos nchini Uswizi tarehe 19 Januari, 2023.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...