Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akibadiliashana mawazo na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania, David Concar (katikati) mara baada ya hafla ya utiaji Saini Makubaliano ya Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Pemba, baina ya Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar na Kampuni ya Propav kutoka nchini Barazil na Kampuni ya Mecco Tanzania,iliyofanyika leo ukumbi Ikulu Jijini Zanzibar katika mwendelezo wa shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kushoto) Balozi wa Hshima wa Brazil hapa Zanzibar Mhe.Abdulsamad Abdulrahim.[Picha na Ikulu] 04/01/2023.




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...