Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Lela Mohamed Mussa(kulia)akikunjuwa Kita mbaa kuashiria Uzinduzi wa Kituo cha Mafunzo ya Vijana Bweleo Mkoa wa Mjini Wilaya ya Magharibi B Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.Kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Habari Vijana utamaduni na Michezo Fatma Hamadi Rajab.Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Lela Mohamed Mussa akipatiwa Maelezo na Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Vijana Shaib Ibrahim Mohamed wakati akitembelea maeneo mbalimbali katika hafla ya Uzinduzi wa Kituo cha Mafunzo ya Vijana Bweleo Mkoa wa Mjini Wilaya ya Magharibi B Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.Katibu Mkuu Wizara ya Habari Vijana utamaduni na Michezo Fatma Hamadi Rajab. akitoa hotuba ya Makaribisho kwa Mgeni Rasmi katika Uzinduzi wa Kituo cha Mafunzo ya Vijana Bweleo Mkoa wa Mjini Wilaya ya Magharibi B Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.


Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Lela Mohamed Mussa akitoa hotuba ya Uzinduzi wa Kituo cha Mafunzo ya Vijana Bweleo Mkoa wa Mjini Wilaya ya Magharibi B Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...