Mbunge wa Jimbo la Ruangwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizindua tawi la timu ya mpira wa miguu ya Namungo FC liitwalo 'Tairi tatu' lililopo Ruangwa Mjini Mkoani Lindi, Februari 20, 2023
Mbunge wa Jimbo la Ruangwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wapenzi na mashabiki wa Timu ya Namungo FC alipozindua tawi la timu hiyo liitwalo 'Tairi tatu' lililopo Ruangwa Mjini Mkoani Lindi, Februari 20, 2023 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...