Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Mwanafamilia wa Watawala wa Dubai kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Ikulu Mkoani Dodoma tarehe 06 Februari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwanafamilia wa Utawala wa Dubai kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) pamoja na ujumbe wake mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu Mkoani Dodoma tarehe 06 Februari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi zawadi ya Picha ya Jengo la Kihistoria la Zanzibar, Bait el Ajaib, Mwanafamilia wa Utawala wa Dubai kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Ikulu Mkoani Dodoma tarehe 06 Februari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mwanafamilia wa Utawala wa Dubai kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu Mkoani Dodoma tarehe 06 Februari, 2023.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...