Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania, Mhe. Abdulrahman Kinana leo tarehe 28 Machi 2023 aongoza kikao (SUMMIT) cha wajumbe wa TCD katika ukumbi wa Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam

Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania, Mhe. Abdulrahman Kinana leo tarehe 28 Machi 2023 akiongoza kikao (SUMMIT) cha wajumbe wa TCD katika ukumbi wa Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.(Picha Zote na Fahadi Siraji)


Mwenyekiti wa Kituo Cha Demokrasia Nchini Mhe. Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mwenyekiti Wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Freeman Aikael Mbowe ,Kulia ni Katibu Mkuu wa Chama Hicho Mhe. John Mnyika  Katika Kikao Cha Wajumbe wa TCD , Ukumbi wa Hoteli ya Serena Jijini Dar Es Salaam.

Mwenyekiti wa Kituo Cha Demokrasia Nchini Mhe. Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mwenyekiti  wa Chama Cha ACT Wazalendo Mhe Juma Duni Haji katika kikao (SUMMIT) cha wajumbe wa TCDUkumbi wa Hoteli ya Serena Jijini Dar Es Salaam.


 Mwenyekiti wa Kituo Cha Demokrasia Nchini Mhe. Abdulrahman Kinana akisalimiana na Kiongozi Mkuu wa Chama Cha ACT Wazalendo Mhe. Zitto Zuber Kabwe,Kushoto ni Katibu Mkuu wa Chama Hicho Ndg. Ado Shaibu  Katika Kikao Cha Wajumbe wa TCD, Ukumbi wa Hoteli ya Serena Jijini Dar Es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...