Mhe. Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Viongozi wa Jumuiya ya Waislamu ya Chuo Kikuu cha Havard Dr. Khalil Abdur-Rashid na Bi. Samia Omar baada ya kushiriki nao swala ya Magharibi na Futari chuoni hapo mjini Boston, Marekani leo

 . Mheshimiwa Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimpa maji mtoto wa Bw. Maliva Augustine Mahiga, wanaoishi Boston, Marekani. 

Mhe. Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na baadhi ya wanajumuiya hiyo ya Waislamu ya Chuo Kikuu cha Havard, Boston

Mhe. Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mmoja wa viongozi wa jumuiya hiyo ya Waislamu ya Chuo Kikuu cha Havard, Boston

Mhe. Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na baadhi ya wanajumuiya hiyo ya Waislamu ya Chuo Kikuu cha Havard, Boston

Mheshimiwa Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akkiwa na familia ya Bw. Maliva Augustine Mahiga, wanaoishi Boston, Marekani.  

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...