Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi mshindi wa kwanza wa kuhifadhi Juzuu (30) upande wa wavulana, Mussa Hamad Hamad, namba ya usajili ya pikipiki ya kubebea mizigo, baada ya kuibuka mshindi wa kwanza wa mashindano ya kitaifa ya kuhifadhi Quran Tukufu yaliyoandaliwa na Taasisi ya Asha Sururu yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee, Jijini Dar es Salaam Aprili 02, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi mshindi wa kwanza wa kuhifadhi Juzuu (30) upande wa wavulana, Suleiman Omar Ally, Pikipiki, baada ya kuibuka mshindi wa pili wa mashindano ya kitaifa ya kuhifadhi Quran Tukufu yaliyoandaliwa na Taasisi ya Asha Sururu yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee, Jijini Dar es Salaam Aprili 02, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Mke wa Waziri Mkuu Mary Majaliwa akimkabidhi mshindi wa kwanza wa kuhifadhi Juzuu (30) upande wa wanawake, Asma Rubea Salehe, namba ya usajili ya pikipiki ya kubebea mizigo, baada ya kuibuka mshindi wa kwanza wa mashindano ya kitaifa ya kuhifadhi Quran Tukufu yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee, Jijini Dar es Salaam Aprili 02, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Mke wa Waziri Mkuu Mary Majaliwa akimkabidhi mshindi wa pikipiki wa kuhifadhi Juzuu (30) upande wa wanawake, Rabia Abdalah Qassim, Pikipiki, baada ya kuibuka mshindi wa pili wa mashindano ya kitaifa ya kuhifadhi Quran Tukufu yaliyoandaliwa na Taasisi ya Asha Sururu yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee, Jijini Dar es Salaam Aprili 02, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)





Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza waumini na viongozi wa dini ya Kiislam wakati alipomuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mashindano ya kitaifa ya kuhifadhi Quran Tukufu yaliyoandaliwa na Taasisi ya Asha Sururu yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee, Jijini Dar es Salaam Aprili 02, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally Mbwana akizungumza wakati wa mashindano ya kitaifa ya kuhifadhi Quran Tukufu yaliyoandaliwa na Taasisi ya Asha Sururu yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee, Jijini Dar es Salaam Aprili 02, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...