Waziri Mkuu na Mwenyekiti wa Kamati ya Sensa Kitaifa, Kassim Majaliwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti Mwenza wa Kamati ya Sensa Kitaifa, Hemed Suleiman Abdulah wakikata utepe kuzindua machapisho ya Ripoti za Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)-Tunguu Aprili 15, 2023. Wengine ni Mtakwimu Mkuu wa Serikali Dkt. Albina Chuwa (Kushoto) na Mtakwimu Mkuu wa Serikali wa Zanzibar Salum Kassim Ali (Kulia) (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu na Mwenyekiti wa Kamati ya Sensa Kitaifa Kassim Majaliwa akifungua kitambaa kuzindua machapisho ya Ripoti za Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)-Tunguu, Aprili 15, 2023. Kushoto ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti Mwenza wa Kamati ya Sensa Kitaifa Hemed Suleiman Abdulah. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu na Mwenyekiti wa Kamati ya Sensa Kitaifa Kassim Majaliwa akizungumza wakati wa uzinduzi wa machapisho ya Ripoti za Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)-Tunguu, Aprili 15, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
.jpeg)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...