
KASINO ya Mtandaoni ya Meridianbet kupitia mchezo pendwa Zaidi kwa majokeri Aviator/ kindege, umefanikiwa kumzawadia Mamilioni ya pesa bingwa huyo. Ni TZS 60,000,000/= pesa ambazo ukizitafuta huenda uzizipate kwa Maisha lakini kwa mchezo mmoja wa kasino ya mtandaoni unaweza kuzipata Zaidi ya hizi.
Maneno kidogo pesa nyingi kauli hii inathibitishwa na moja ya mteja wa Meridianbet (Jina lake limehifadhiwa) alicheza Sloti ya Aviator na kupiga Tsh 60,000,000/=, huyu jamaa yeye hucheza kasino ya mtandaoni lakini alivyojua kuhusu mchezo huu alianza kucheza mara kwa mara.
Huenda ukawa unajiuliza mwamba alipigaje mkwanja huu mrefu, ila ni rahisi sana alichokifanya ni kuweka dau lake dogo tu kisha akabonyeza kitufe cha kurusha ndege ya Aviator, alisubiri mpaka ndege ya Aviator ilipofika kwenye odds ya 200 aka-Cash Out. Aliendelea kufanya hivi mara tatu mfululizo ambapo kila raundi alikuwa akishinda Tsh 20,000,000/=
Kasino ya mtandaoni Meridianbet ina michezo mingi ambayo yote inakupa nafasi ya kushinda pesa na kuwa Milionea ukiachana na sloti ya Aviator kuna Poker/Karata, Roulette, Blackjack, Titan Dice na mingine mingi inakupa nafasi kuwa Tajiri bila mateso.
Kitu kingine kikubwa kutoka Meridianbet wanakupa ofa ya mizunguko 50 ya bure kwa mteja atakayejisajili na Meridianbet, mizunguko hii itakuwezesha kucheza sloti uzitakazo za kasino ya mtandaoni, Cheza hapa.
NB: Bado hela zinaendelea kutoka kwenye Jakipoti kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#
#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...