Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Amos Makalla mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Mwanza uliopo Ilemela Mkoani humo tarehe 12 Juni, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan  akisalimiana na viongozi wa Dini mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Mwanza uliopo Ilemela Mkoani humo tarehe 12 Juni, 2023.





Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi wa Ilemela waliofika kumpokea  katika uwanja wa Ndege wa Mwanza mara baada ya kuwasili tarehe 12 Juni, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi wa Mwanza waliokuwa wakimsubiri katika eneo la CCM Nyamagana Mkoani Mwanza tarehe 12 Juni, 2023.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...