KILA unapocheza Meridianbet kasino ya mtandaoni sloti ya God of Coins unapata mizunguko 50 ya bure, lakini kigezo kikubwa ni lazima ucheze mizunguko 100 kwanza kabla ya kuzawadiwa bonasi hii.

Hii ni promosheni kabambe kabisa msimu huu wa kiangazi wa mavuno, unaweza kuwa kwenye nafasi ya kuvuna mkwanja. Cheza kasino ya mtandaoni sasa ufurahie zawadi nyingi.

Promosheni hii imeanza Juni 27 na itadumu mpaka Julai 15, 2023 na ni kwa wateja wote waliojisajili na Meridianbet, endapo hujajisajili bonyeza hapa kujisajili kisha utapewa zawadi ya mizunguko ya bure kucheza kasino ya mtandaoni.

Fahamu Kuhusu God of Coins
Sloti ya God of Coins inawalenga wapenzi kindakindaki wa historia ya kale, kasino ya mtandaoni hii inawasafirisha wachezaji wake hadi ulimwengu wa Misri ya kale kupitia picha zake za kuvutia na nyimbo zinazoendana na zama za enzi hizo.

Ikiwa na mpangilio maalum wa mistari ya 4x5, God of Coins Sloti ina ishara za alama 8 ikiwa ni pamoja na alama ya WILD. Katika mistari 20 ya malipo una uwezo wa kushinda mpaka mara 1000 ya dau lako katika kila mzunguko, mchezo huu wa kasino ya mtandaoni unawafanya wachezaji kufurahia na kucheza kwa muda mrefu bila kuchoka. Ingia katika kasino ya mtandaoni ya Meridianbet sasa!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...