Balozi wa Nigeria nchini Tanzania, Hamisu Umar Takalmawa (wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa  Ofisa Udahili kutoka Chuo Kikuu Katoliki Ruaha (RUCU) Dkt Justin Lusasi kuhusu mashine ya Juice ya kuuzia juice kwenye mfumo wa moja kwa moja katika maonesho ya 18 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) yaliyoanza katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Shahada za Awali kutoka Chuo Kikuu Katoliki Ruaha (RUCU) Dkt. Willy Migodela.
Balozi wa Nigeria nchini Tanzania, Hamisu Umar Takalmawa (wa pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa  Ofisa Udahili kutoka Chuo Kikuu Katoliki Ruaha (RUCU) Dkt Justin Lusasi kuhusu fimbo janja (Smart Stick) kwa ajili ya walemavu wa macho na masikio ambapo fimbo hii utoa sauti (alarm) na kutetema (vibration) pale inapokaribiana na ukinzani kwa umbali wa mita moja. Kushoto ni Mkurugenzi wa Shahada za Awali kutoka Chuo Kikuu Katoliki Ruaha (RUCU) Dkt. Willy Migodela.
Balozi wa Nigeria nchini Tanzania, Hamisu Umar Takalmawa akipata maelezo kutoka kwa Ofisa Udahili kutoka Chuo Kikuu Katoliki Ruaha (RUCU) Dkt. Justin Lusasi  kuhusu pampu ya kupandisha maji kwenye tenki katika maonesho ya 18 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) yaliyoanza katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Shahada za Awali kutoka Chuo Kikuu Katoliki Ruaha (RUCU) Dkt. Willy Migodela.
Balozi wa Nigeria nchini Tanzania, Hamisu Umar Takalmawa (kulia) akipata maelezo kutoka kwa  Mwanachuo wa Chuo Kikuu Katoliki Ruaha (RUCU) Godfrey Mbilinyi (kushoto) akitolea ufafanuzi mashine ya kusaga magome ya miti kwa ajili ya kupata dawa kwa alipotembelea Banda la Chuo hicho katika maonesho ya 18 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) yaliyoanza katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Balozi wa Nigeria nchini Tanzania, Hamisu Umar Takalmawa (kulia) akiangalia mashine ya kusaga magome ya miti kwa ajili ya kupata dawa kwa alipotembelea Banda la Chuo hicho katika maonesho ya 18 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) yaliyoanza katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mwanachuo wa Chuo Kikuu Katoliki Ruaha (RUCU) Godfrey Mbilinyi.
Balozi wa Nigeria nchini Tanzania, Hamisu Umar Takalmawa akisaini kitabu kwenye Banda la Chuo Kikuu Katoliki Ruaha (RUCU) alipotembelea katika maonesho ya 18 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) yaliyoanza katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Ofisa Udahili kutoka Chuo Kikuu Katoliki Ruaha (RUCU) Dkt. Justin Lusasi.
Balozi wa Nigeria nchini Tanzania, Hamisu Umar Takalmawa akiwa kwenye picha ya pamoja na watumishi pamoja na wanafunzi waliokuwa wanatoa elimu katika banda la Chuo Kikuu Katoliki Ruaha (RUCU) katika maonesho ya 18 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) yaliyoanza katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Mbunge wa Kilosa, Profesa Palamagamba Kabudi(kulia) akisaini kitabu kwenye Banda la Chuo Kikuu Katoliki Ruaha (RUCU) alipotembelea katika maonesho ya 18 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) yaliyoanza katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Ofisa Udahili kutoka Chuo Kikuu Katoliki Ruaha (RUCU) Dkt. Justin Lusasi.
Mbunge wa Kilosa, Profesa Palamagamba Kabudi(wa pili kulia) akizungumza jambo kwenye Banda la Chuo Kikuu Katoliki Ruaha (RUCU) alipotembelea katika maonesho ya 18 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) yaliyoanza katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Wa pili Kushoto ni Ofisa Udahili kutoka Chuo Kikuu Katoliki Ruaha (RUCU) Dkt. Justin Lusasi na kushoto ni Mkurugenzi wa Shahada za Awali kutoka Chuo Kikuu Katoliki  Ruaha (RUCU) Dkt. Willy Migodela.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...