Wataalam
wa afya wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao kutoka Shirika la
Madaktari Afrika la nchini Marekani wakiangalia umeme wa moyo unaoingia kwa
mgonjwa unavyofanya kazi kwa kutumia mashine ya CRTD Programmer wakati wa kambi
maalum ya siku tano ya matibabu hayo. Jumla ya wagonjwa 12 wameshapatiwa
matibabu katika kambi hiyo.
Picha na: Khamis Mussa
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...