Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama akutana na Watendaji wa ofisi yake na TACAIDS wakati wa kikao cha kumpitisha juu ya maandalizi ya kuelekea hafla ya kuwapokea wapanda mlima na waendesha baiskeli Waliozunguka mlima Kilimanjaro ikiwa ni sehemu ya kampeni ya GGM Kilimanjaro HIV & AIDS Challenge 2023 katika kuchangia fedha za utekelezaji wa afua za masuala ya UKIMWI nchini.Halfa inatarajiwa kufanyika Julai 20, 2023 katika lango la Mwika Kilimanjaro.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...