Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan akimpokea mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Hungary Mhe.Katalin Novak alipowasili Ikulu leo Julai 18,2023 Jijini Dar es Salaam. Rais Novak amewasili nchi hapo jana Julai 17,2023 kwaajili ya ziara yake ya siku tatu.

 Rais wa Jamhuri ya Hungary  Mhe.Katalin Novak akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili na kupokelewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan Ikulu leo Julai 18,2023 Jijini Dar es Salaam. Rais Novak amewasili nchi hapo jana Julai 17,2023 kwaajili ya ziara yake ya siku tatu.

 

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan akipata picha ya pamoja na mgeni wakeRais wa Jamhuri ya Hungary  Mhe.Katalin Novak alipowasili Ikulu leo Julai 18,2023 Jijini Dar es Salaam. Rais Novak amewasili nchi hapo jana Julai 17,2023 kwaajili ya ziara yake ya siku tatu.

PICHA ZOTE NA EMMANUEL MBATILO)


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...