RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam katika Sala ya kuusalia mwili wa Marehemu Mariyam Mwinyi Khatib, Mama mzazi wa Mwakilishi wa Jimbo la Kwahani Zanzibar Mhe. Yahya Rashid Abdalla (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdulla, ibada hiyo iliyofanyika katika msikiti wa Meli Nne Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 10-7-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsalimia na kutowa mkono wa pole kwa Mtoto wa Marehemu Mariam Mwinyi Khatib.Ndg. Abdalla Rashid Abdalla, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya kuusalia mwili wa marehemu iliyofanyika katika Msikiti wa Meli Nne Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi ”B” Unguja leo 10-7-2023.(Picha na Ikulu)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...