Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia asali inayozalishwa na Kampuni ya Pinda Honey, katika Maonesho ya 47 ya Kimataifa ya Biashara, yanayofanyika kwenye Viwanja vya Maonesho ya Sabasaba, Kurasini jijini Dar es Salaam. Julai 05, 2023. Kushoto ni Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia kahawa, wakati alipo tembelea banda la Tanganyika Instant Coffee katika Maonesho ya 47 ya Kimataifa ya Biashara, yanayofanyika kwenye Viwanja vya Maonesho ya Sabasaba, jijini Dar es Salaam. Julai 05, 2023. Kulia ni Meneja Masoko wa Kampuni hiyo Rewina Peter. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi wa Kampuni ya Imalilo Nutrition Educators katika Maonesho ya 47 ya Kimataifa ya Biashara, yanayofanyika kwenye Viwanja vya Maonesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam. Julai 05, 2023. Kulia ni Mke wa aliyekua Rais wa awamu ya tatu, Mama Anna Mkapa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitembelea mabanda katika Maonesho ya 47 ya Kimataifa ya Biashara, yanayofanyika kwenye Viwanja vya Manonesho vya Sabasaba, jijini Dar es Salaam. Julai 05, 2023 kabla ya kuyazindua rasmi maonesho hayo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...