Afisa Tehama kutoka Idara ya Mifumo ya Kifedha, Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Emmanuel Maendaenda, akitoa elimu kuhusu Mifumo ya GePG na Muse kwa Bw. Albert Edward, aliyetembelea Banda la Wizara hiyo katika Maonesho ya 47 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (TanTrade), Tanzania, jijini Dar es Salaam.

Mchumi Idara ya Mipango ya Kitaifa kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Elias Masanza, akitoa elimu kwa Bw. Alexander Ng’winamila, aliyetembelea Banda la Wizara hiyo katika Maonesho ya 47 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (TanTrade), Tanzania, jijini Dar es Salaam.

Afisa Msimamizi wa Mali za Serikali kutoka Idara ya Usimamizi wa Mali za Serikali, Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. George Killo, akitoa elimu kuhusu mfumo wa utoaji wa leseni za udalali na uendeshaji minada, kwa Bw. Kolanje Abdulrahman, aliyetembelea Banda la Wizara hiyo katika Maonesho ya 47 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (TanTrade), Tanzania, jijini Dar es Salaam.

Maafisa kutoka idara ya uchambuzi wa Sera, Bw. Fronto Furaha (kulia), Bw. Filbert Mwacha na Bi. Jacqueline Kayuki, wakimsikiliza kwa makini mwananchi aliyetembelea Banda la Wizara hiyo katika Maonesho ya 47 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (TanTrade), Tanzania, jijini Dar es Salaam.
Maafisa kutoka Idara ya Mhasibu Mkuu wa Serikali (ACGEN), Bw. Almasi Chimodoi (kulia), Bi. Stellah Mtally (katikati) na Bi. Gillian Makule (kushoto), wakitoa elimu kuhusu utaratibu wa malipo ya mafao ya uzeeni na mirathi, namna ya uwasilishaji michango ya watumishi kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii, pamoja na uratibu na usimamizi wa Mfuko Mkuu wa Hazina ya Serikali, kwa wananchi waliyotembea Banda la Wizara hiyo katika Maonesho ya 47 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (TanTrade), Tanzania, jijini Dar es Salaam.


(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WFM, Dar es salaam)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...