

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji CRDB Foundation na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa, wakati alipotembelea banda letu kwenye ufunguzi wa Tamasha la Kizimkazi, linalofanyika Paje mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein
Mwinyi akizungumza na wananchi waliofurika kwa wingi katika viwanja vya Paje, wakati wa ufunguzi wa Tamasha la Kizimkazi,
linalofanyika Paje mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein
Mwinyi akiwa pamoja na viongozi wengine wakipiga makofi na kufurahia wakati wa ufunguzi wa Tamasha la Kizimkazi,
linalofanyika Paje mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar jana.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...