Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Rais wa Indonesia Mhe.Joko Waidodo leo,alipohudhuria katika chakula cha mchana alichoandaliwa   mgeni huyo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan katika ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salama.[Picha na Ikulu] 22/08/2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akita na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mhe.Dkt.Tulia Ackson (kulia) na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Majaliwa Kassim Majaliwa katika ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam leo   katika Chakula kilichoandaliwa  na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan kwa Mgeni wake   Rais wa Indonesia Mhe.Joko Waidodo .[Picha na Ikulu] 22/08/2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mara alipowasili katika ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam kuhudhuria katika Chakula kilichoandaliwa  na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan kwa Mgeni wake   Rais wa Indonesia Mhe.Joko Waidodo leo mchana.[Picha na Ikulu] 22/08/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mhe.Dkt.Tulia Ackson katika ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam leo alipohudhuria katika Chakula kilichoandaliwa  na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan kwa Mgeni wake   Rais wa Indonesia Mhe.Joko Waidodo leo (kushoto) Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Majaliwa Kassim Majawa.[Picha na Ikulu] 22/08/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Maryam Mwinyi wakiingia katika ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam  kuhudhuria hafla ya Chakula   alichoandaliwa  Rais wa Indonesia Mhe.Joko Waidodo    na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan katika ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salama.[Picha na Ikulu] 22/08/2023.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Viongozi wakati alipojumuika katika hafla ya  chakula cha mchana kilichoandaliwa  na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan kwa Mgeni wake  Rais wa Indonesia Mhe.Joko Waidodo   leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salama.[Picha na Ikulu] 22/08/2023.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...