MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Abdulrahman Kinana, leo Agosti 24, 2023, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa  taasisi ya Marekani ya NDI inayojishughulisha na masuala ya demokrasia, Balozi Derek Mitchel, katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM Lumumba, Dar es Salaam. 
 
Balozi Mitchel ameipongeza serikali ya CCM kwa hatua nzuri iliyopigwa katika kukuza demokrasia nchini Tanzania. 
 
Makamu Mwenyekiti Ndugu Kinana amemhakikishia kiongozi huyo kuwa chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Tanzania itaendelea kufanya mageuzi yatakayoimarisha demokrasia nchini.

 MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Abdulrahman Kinana, leo Agosti 24, 2023, Akizungumza  na Rais wa  taasisi ya Marekani ya NDI inayojishughulisha na masuala ya demokrasia, Balozi Derek Mitchel, katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM Lumumba, Dar es Salaam. (Picha na Fahadi Siraji)



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...