Mgeni rasmi Dkt. Issack Shimba Allan kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akisikiliza maeleoz ya wanafunzi wa shule ya Nyamata Academy alipotembelea maonesho ya Sayansi wakati wa Mahafali ya 11 ya darasa la Saba shule ya Nyamata Academy pamoja na mahafali ya 13 ya Shule ya Awali yaliyofanyika tarehe 26 Agosti, 2023.
Mgeni rasmi Dkt. Issack Shimba Allan kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akisoma hotuba kwenye Mahafali ya 11 ya darasa la Saba shule ya Nyamata Academy pamoja na mahafali ya 13 ya Shule ya Awali yaliyofanyika tarehe 26 Agosti, 2023.
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya shule ya Nyamata Academy, Dkt. William Kazungu akizungumza neno pamoja na kumkaribisha mgeni Dkt. Issack Shimba Allan kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wakati wa Mahafali ya 11 ya darasa la Saba shule ya Nyamata Academy pamoja na mahafali ya 13 ya Shule ya Awali yaliyofanyika tarehe 26 Agosti, 2023..
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Nyamata Academy, Renald Gurusi akisoma hotuba pamoja na kutoa historia toka kuanzishwa kwa shule hiyo kwa mgeni rasmi Dkt. Issack Shimba Allan kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wakati wa Mahafali ya 11 ya darasa la Saba shule ya Nyamata Academy pamoja na mahafali ya 13 ya Shule ya Awali yaliyofanyika tarehe 26 Agosti, 2023.
Wahitimu wa darasa la Saba ya shule ya Nyamata Academy wakifuatilia wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi Dkt. Issack Shimba Allan kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wakati wa Mahafali ya 11 ya darasa la Saba shule ya Nyamata Academy pamoja na mahafali ya 13 ya Shule ya Awali yaliyofanyika tarehe 26 Agosti, 2023.
Mhitimu wa Darasa la Saba Zinduna Samwel akisoma risala kwa niaba ya wanafunzi wanaomaliza mbele ya mgeni rasmi Dkt. Issack Shimba Allan kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wakati wa Mahafali ya 11 ya darasa la Saba shule ya Nyamata Academy pamoja na mahafali ya 13 ya Shule ya Awali yaliyofanyika tarehe 26 Agosti, 2023.
Dada Mkuu wa Shule ya Nyamata Academy Matilda George akisoma risala kwa niaba ya wanafunzi wanaobaki mbele ya mgeni rasmi Dkt. Issack Shimba Allan kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, viongozi wa Shule pamoja na wageni waalikwa wakati wa Mahafali ya 11 ya darasa la Saba shule ya Nyamata Academy pamoja na mahafali ya 13 ya Shule ya Awali yaliyofanyika tarehe 26 Agosti, 2023.
Mgeni rasmi Dkt. Issack Shimba Allan akikabidi zawadi na vyeti kwa baadhi ya wahitimu waliofanya vizuri kwenye Masomo mbalimbali wakati wa Mahafali ya 11 ya darasa la Saba shule ya Nyamata Academy pamoja na mahafali ya 13 ya Shule ya Awali yaliyofanyika tarehe 26 Agosti, 2023.
Baadhi ya wageni waalikwa wakifuatilia Mahafali ya 11 ya darasa la Saba shule ya Nyamata Academy pamoja na mahafali ya 13 ya Shule ya Awali yaliyofanyika tarehe 26 Agosti, 2023.
Wahitimu wa Darasa la Saba wa shule ya Nyamata Academy wakitoa burudani wakati wa Mahafali ya 11 ya darasa la Saba shule ya Nyamata Academy pamoja na mahafali ya 13 ya Shule ya Awali yaliyofanyika tarehe 26 Agosti, 2023.
Wanafunzi wa shule ya Nyamata Academy wakitoa burudani wakati wa Mahafali ya 11 ya darasa la Saba shule ya Nyamata Academy pamoja na mahafali ya 13 ya Shule ya Awali yaliyofanyika tarehe 26 Agosti, 2023.
Burudani zikiendelea
Picha za pamoja
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...