*Sloti ya Circus Fever Deluxe

KASINO ya mtandaoni ya Meridianbet kila siku inakuletea sloti na michezo mingi ya kasino inayokupa nafasi ya kushinda kirahisi huku unaburudika. Sloti kama Circus Fever Deluxe kutoka watengenezaji wa Expanse Studio inatoa hela kwa dau dogo na ushindi unaupata kulingana na ukubwa wad au lako.

Sloti ya Circus Fever Deluxe ina mtindo kama wa mazingaombwe lakini kuna tofauti kidogo, huku kuna wacheza sarakasi na Wanyama ambapo wanashindana sehemu moja mchezo huu unapatikana kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.

Sloti hii ya kasino ya mtandaoni ina mchezo wa Plinko ambapo mchezaji atabashiri namba 5 kati ya (1,2,4,6 na 9) ikisindikizwa na michezo miwili ya bonasi ya kasino ya mtandaoni.

Zingatia: Jisajili na Meridianbet upate mizunguko 50 ya bure kucheza moja ya mchezo wa kasino ya mtandaoni uupendao, jisajili hapa.

Jinsi ya Kuchezo mchezo wa Plinko
Hapa kuna hatua kuu za kucheza Plinko kasino:
Weka dau lako: Kabla ya mchezo huu wa kasino ya mtandaoni kuanza, unahitaji kuweka dau lako. Kiasi cha dau lako kitategemea malipo ya uwezekano ikiwa utashinda.

Achia kete: Mara baada ya dau lako kuwekwa, mchezo utaanza. Unahitaji kuachia kete kwenye ubao wa vibonye na safu kadhaa za vibonye. Kete itapiga vibonye wakati inaanguka, na hatimaye kutua kwenye mojawapo ya mashimo kadhaa chini ya ubao.

Pokea ushindi wako: Mashimo ambayo kete inaweza kutua yataamua ushindi wako. Kila shimo linahusishwa na malipo tofauti, hivyo uwezekano wa malipo utategemea mahali ambapo kete inatua.

Endelea kucheza: Unaweza kuendelea kucheza Plinko kwa kuweka dau jingine na kuachia chombo kingine.

NB: Ni muhimu kuzingatia kwamba mchezo wa Plinko unategemea bahati, kwa hivyo hakuna mkakati wa kuongeza nafasi zako za kushinda. Vilevile kwenye sloti hii ya Circus Fever Deluxe ukicheza mchezo huu wa kasino ya mtandaoni unapata bonasi za aina tofauti kama vile: Dice Bonasi na Coin Flip/Geuza Sarafu, kila moja ina namba zake za ushindi.

Bonasi ya Mizunguko: Ushindi unapatikana kwenye namba hizi: 2,3,5,710,12,15,22,2530,50

Coins Flip/ Geuza Sarafu: 2,3,4,5,8,10,12,15,16,20,24,30

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...