
Mkurugenzi Mtendaji wa NIC Insurance Dkt. Elirehema Doriye (waliokaa katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa kampuni hiyo kusherehekea kupatiwa cheti cha Usimamizi wa Ubora wa Kimataifa (ISO) jijini Dar es Salaam jana. Kwa mwaka huu pekee NIC imeshashinda takribani tunzo 7 ambapo hivi karibuni walipokea tunzo ya utendaji bora katika sekta za fedha pamoja na ya kutambuliwa kama kampuni bora ya huduma za bima na Superbrands kwa Ukanda wa Afrika ya Mashariki.
.jpg)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...