




MCHEZO wa Uzinduzi wa Ngumi za Kulipwa Zanzibar (Vitasa)kati ya Karimu Mandonga na Muller Junior uliofanyika jana usiku 27-8-2023 katika Uwanja wa Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, baada ya kuzinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, katika mchezo huo Bondia Muller Junior ameshinda.(Picha na Ikulu)

MSHANII wa Muziki wa Kizazi kipya Bongo Flava Ali Kiba akifuatilia mchezo wa ufunguzi wa Ngumi za Kulipwa Zanzibar (Vitasa ) kati ya Karimu Mandonga na Muller Junior, baada ya kuzinduliwa ngumi za kulipwa Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza lac Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi jana usiku 27-8-2023, katika uwanja wa Maon Zedung Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...