RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika Jukwaa Kuu la Viongozi  katika Uwanja wa Amaan Zanzibar, wakati wa ziara yake kukagua Mradi huo wa Ujenzi wake  leo 27-8-2023.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  akikagua Mradi wa Ujenzi Uwanja wa Mpira wa Amaan Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 27-8-2023. unaofanyiwa ukarabati mkubwa, akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ORKUN Mr.Ilhan Karadeniz (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe. Tabia Maulid Mwita.(Picha na Ikulu)
RAIS  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Ujenzi ya ORKUN Mr.Ilhan Karadeniz  alipofanya ziara kuangalia maendeleo ya Ujenzi wa Mradi wa Ujenzi  uwanja wa Amaan  Wilaya ya Mjini Unguja leo 27-8-2023  na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Musatafa .(Picha na Ikulu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...